價格:免費
更新日期:2019-07-17
檔案大小:7.9M
目前版本:9.0
版本需求:Android 4.1 以上版本
官方網站:mailto:jovkim95@gmail.com
Email:https://www.freeprivacypolicy.com/privacy/view/69a003016373018936ddb74113b68b70
聯絡地址:Songea Msamala
Elimu ya Mapenzi ni moja ya App inayohusu na inayokupa Mambo mbalimbali kuhusiana na mahusiano, Mapenzi,jinsi ya kutongoza,utundu na ujanja wa chumbani,sms nzuri zakuvutia kwa ajili ya mpenzi wako bila kusahau ushauri pamoja na simulizi zinazohisiana na mapenzi kila siku zitakazokufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na Mapenzi pia utaweza kujua zaidi mambo yafuatayo kupitia app hii
Utundu na Utamu wote wa chumbani.
Siri zote za Mapenzi.
Darasa la Mapenzi.
Simulizi nzuri za Mapenzi.
Ushauri kuhusu Mahusiano na Mapenzi.
Ujumbe mzuri wa Mapenzi.
Mapenzi Mubashara.
Utajifunza mapenzi.
Sms za mapenzi.
Mikasa ya mapenzi
Elimu ya Mapenzi ni mahali utakapo pata Elimu ihusuyo Mapenzi na huku ndipo kuna Dunia ya Mapenzi, Sayari ya Mapenzi pamoja na kijiwe safi kwa ajili ya mahusiano pamoja na mapenzi